Chapisha kazi, chagua mfanyakazi wa karibu, na lipa kupitia escrow ya ZenoPay. Malipo yanaachiliwa baada ya kazi kuthibitishwa.
Chagua huduma unayohitaji na upate mfanyakazi wa karibu haraka
Hatua 4 rahisi za kupata huduma
Andika kazi, weka eneo na bei, lipa escrow
Wafanyakazi wa karibu watatuma maombi
Angalia profile na reviews, chagua bora
Kazi ikikamilika, thibitisha na malipo yataachiliwa
Jiunge na maelfu ya Watanzania wanaotumia TendaPoa kupata huduma za nyumbani
Pakua Android AppFaida kwa wahitaji na wafanyakazi
Tafuta wafanyakazi walioko karibu nawe kwa urahisi.
Pesa yako iko salama hadi kazi ikamilishwe.
Angalia maoni ya wengine kabla ya kuchagua.
Pata kazi zinazofanana na ujuzi wako.
Hakuna fees zilizofichwa, malipo ni clear.
Toa pesa zako kwa haraka kupitia mobile money.
Maoni kutoka kwa watumiaji wetu
"TendaPoa imenirahisishia kupata watu wa kusaidia nyumbani. Sina wasiwasi tena na wafanyakazi wasio wa kuaminika!"
"Kama mfanyakazi, nimepata kazi nyingi kupitia TendaPoa. Malipo ni ya haraka na salama."
"Escrow system ni nzuri sana. Ninajua fedha zangu ziko salama hadi kazi ikamilike."
Unapochapisha kazi, unalipa kwenye akaunti ya ZenoPay escrow. Fedha zinashikiliwa salama hadi kazi ikamilike na uthibitishe. Kisha malipo yanaachiliwa kwa mfanyakazi.
Unaweza kuripoti tatizo kupitia app kabla ya kuthibitisha kazi. Timu yetu itasaidia kutatua suala hilo.
Wafanyakazi wote wanapitia mchakato wa uhakiki unaojumuisha uthibitisho wa kitambulisho na maoni ya wateja wengine.
Kawaida withdraw inafanywa ndani ya masaa 24 kupitia mobile money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money).
Pakua TendaPoa app na upate huduma za nyumbani kwa urahisi na usalama.
Version 1.0.0 โข Bure kabisa